Mitandao

Mashindano ya Michezo 27/12/15 - 01/01/2016


WIZARA YA MICHEZO, SANAA NA BURUDANI 
(RUCU)

Inawatangazia wanamichezo wote wa fani mbalimbali kuwa kutakuwa na mashindano ya vyuo vikuu vya kikatoliki yatakayofanyika IFAKARA Morogoro kwenye chuo Kikuu cha St. Francis mnamo tarehe 27/12/2015 hadi tarehe 01/01/2016.

Hivyo Basi kama mwanamichezo, wizara inaomba tujindae kwa kufanya mazoezi ili kuweza kushirikinkatika michezo hiyo.

NB:

Nidhamu, Kipaji na mahudhurio katika mazoezi ndio vigezo vitakavyompa mchezaji nafasi ya kuwa miongoni mwa watakao pata nafasi ya kushiriki.

Wote mnakaribishwa na yeyote mwnye kipaji anaombwa kuhudhuria mazoezi.
Michezo itakayohusika ni pamoja na:
  • Mpira wa Miguu (Football)
  • Mpira wa Pete (Netball)
  • Mpira wa Kikakpu (Basketball)
  • Mpira wa Wavu (Volleyball)
  • Pamoja na Symposium (Academic Paper Presentation)
By: WIZARA YA MICHEZO SANAA NA BURUDANI (RUCU)

Rulimbiye Adam M.

Related

Recent 1318130527405656041

Post a Comment

emo-but-icon

BSC I SEM II DRAFT II TIMETABLE


Ruaha Catholic University

RUCO MIRROR 2014 EDITION

Almanac 2015/2016

Our Facebook Page

.

Portal Admin


ADVERTISEMENTS

soccer league tables

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Our Recent Visitors

item