New Notes (11/12/15) RCS 110 MicroComputer (4 Files)
https://rucuso.blogspot.com/2015/12/new-notes-111215-rcs-110-microcomputer.html
Mr. Turuka Mwalimu wa RCS 110 Micro-Computer Applications baada ya kutangaza Test 1 ambayo itakuwa ijumaa ijayo (18/12/2015) ametoa Lecture Notes zote za awali ambazo atatumia kutunga mtihani wa test 1.
Files alizotoa (Majina yake)
1. Web Browser
2. Computer Virus
3. Data Communication
4. Word Introduction
Anashauri wote mzisome kwa ajili ya kujiandaa na test. Soft Copy pia zitakuwepo Iramba Stationery kuanzia kesho 12/12/2015.
Ikiingaia kwenye BSC Portal Search kwa tarehe ya 11/12/2015 ama kwa majina ya file.
Links
RCS 110 New Notes