RAIS AONGOZA SHUGHULI ZA USAFI SIKU YA UHURU (9 DEC)
https://rucuso.blogspot.com/2015/12/rais-aongoza-shughuli-za-usafi-siku-ya.html
Mamia ya watu walirauka na kuanza kusafisha baadhi ya maeneo ambayo hujulikana sana kwa kuwa na uchafu na taka kwa wingi.
Mwandishi wa BBC Sammy Awami aliwapata wachuuzi na maafisa wa baraza la jiji Dar es Salaam asubuhi na mapema wakifanya usafi katika soko maarufu la Kariakoo.