DAR YAPATA MEYA MPYA Mhe. ISAYA MWITA WA VIJIBWENI

https://rucuso.blogspot.com/2016/03/dar-yapata-meya-mpya-mhe-isaya-mwita-wa.html
March 22 umefanyika Uchaguzi wa kumtafuta Meya wa Jiji la Dar es salaam, ikiwa ni baada ya uchaguzi huo wa kuahirishwa zaidi ya mbili. Uchaguzi huo wa Meya umefanyika kwa usimamizi na ukiudhuriwa na baadhi ya viongozi kutoka vyama tofauti.
Baada ushindi haya ndiyo maneno aliyoyasema Meya mpya wa Jiji la Dar es salaam Isaya Charles Mwita>>>’Kiukweli wengine wanaweza kutafsiri kama ni furaha lakini kiukweli furaha hiyo kwangu sioni kama ninayo, kutoka na mambo yanayoendelea ndani ya taifa letu‘:- Isaya Charles Mwita Meya wa Jiji la Dar es salaam
‘Lakini kwa upande mwingine tushukuru kuwa uchaguzi umefanyika, na demokrasia imechukua nafasi yake, tumshukuru pia Mkuu wa nchi Rais Magufuli ameliongelea hili siku ya jana, pia nilitarajia ushindi kwa sababu sisi tuko wengi‘>>>>Isaya Charles Mwita Meya wa Jiji la Dar es salaam
Wajumbe kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Mbunge wa Kawe Halima Mdee
Katikati ni Waziri Mkuu Mstaafu (Edward Lowasa)
Mgombea wa Meya (CCM)
Mgombea wa Meya Chadema (Isaya Charles Mwita)
Diwani wa Mbagala, Yusuph Manji
Mbunge wa Mikumi Joseph haule (Profesa J)
Mbunge wa Bunda Ester Bulaya na aliyekuwa anagombea Ubunge Jimbo la Ilala Hassan
Katikati ni Mbunge wa Kawe Halima Mdee
Diwani wa kata ya Kilungule Said Fela
Mbunge wa Jimbo la Ukonga Mwita Waitara
Meya Mpya wa Dar es salaam Isaya Mwita
Karatasi za kupigia kura zikionyeshwa kwa wajumbe
Zoezi la upigaji kura lilivyokuwa
Meya wa Dar es salaam Isaya Mwita
Mbunge wa ilala (kushoto) Ally Zungu na Mbunge wa Segerea Bonnah Kaluwa
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Waziri Mstaafu Edward Lowasa