Mitandao

Magufuli Atangaza Baraza Lake la Mawaziri

Rais John Magufuli alipokuwa akitangaza baraza 
Rais John Magufuli ametangaza rasmi wizara 18 pekee ambazo zitaongozwa na mawaziri 19 na manaibu 15.

Pamoja na kuvunja ukimya leo, ikiwa ni mwezi mmoja umepita tangu alipoapishwa kuongoza nchi, bado Rais Magufuli ameshindwa kutangaza majina ya mawaziri katika wizara za Ujenzi, Elimu, Utalii pamoja na Fedha, akisema bado anatafuta watu sahihi wa kujaza nafasi hizo.
Orodha kamili ya wanaounda Baraza la Mawaziri


1. Wizara ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.
Mawaziri – George Simbachawene na Angella Kairuki
Naibu Waziri – Seleman Jafo.
2. Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na Mazingira
Waziri – January Makamba
Naibu Waziri – Luhaga Jerrson Mpina
3. Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri – Jenista Muhagama
MaNaibu – Dkt Possy Abdallah na Anthony Mavunde.
4. Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Waziri – Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri – William Ole Nasha
5. Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Edwin Ambandusi Ngonyani
6. Wizara ya Fedha na Mipango
Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Ashantu Kizachi
7. Wizara ya Nishati na Madini
Waziri – Prof Mwigalumi Muhongo.
Naibu Waziri – Medalled Karemaligo.
8. Wizara ya Katiba na Sheria,
Waziri – Dk Harrison Mwakyembe
9. Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa
Waziri – Dk Augustino Mahiga
Naibu Waziri – Dkt Susan Kolimba.
10.Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Waziri – Dk Hussein Mwinyi
11. Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri – Charles Kitwanga.
12. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Waziri – William Lukuvi
Naibu Waziri – Angelina Mabula
13. Wizara ya Maliasili na Utalii
Bado hajapatikana.
Naibu Waziri– Ramol Makani
14.Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
Waziri Charles Mwijage.
15. Wizara ya Elimu, Sayansi Teknolojia na Ufundi.
Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Stella Manyanya
16. Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Waziri – Ummy Mwalim
Naibu Waziri – Dkt Hamis Kigwangala
17. Wizara ya Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo
Waziri – Nape Nnauye
Naibu Waziri – Anastasia Wambura.
18. Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Waziri – Prof Makame Mbarawa
Naibu Waziri - Isack Kamwela

Related

Recent 1962224383203552861

Post a Comment

emo-but-icon

BSC I SEM II DRAFT II TIMETABLE


Ruaha Catholic University

RUCO MIRROR 2014 EDITION

Almanac 2015/2016

Our Facebook Page

.

Portal Admin


ADVERTISEMENTS

soccer league tables

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Our Recent Visitors

item