Mitandao

YOUNG DEE AMDISI BABU TALE KUHUSU ISSUE YA CHIDI BENZ

 

Headlines za msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Ilala, Rashid Makwilo aka Chid Benz zinazidi kuchukua nafasi katika mitandao mbalimbali, sasa March 21, 2016 meneja wa Diamond Platnumz amepost video kwenye instagram akiwa na rapper huyo na anasikika akisema..’Mungu tusimamie, tusaidie, mjalie Tale, nijalie na mimi tunaomba mengi tutakuwa na mengi, tutakuwa na vingi tutaenda sehemu nyingi tutafanikiwa’ – Chid Benz


Baada ya video hiyo kusambaza na kuanza kuchukua headlines ikiashiria Babu Tale amejitosa kumsaidia rapper huyo, rapper Young Dee aliandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema‘Nimeona hii post nikajiuliza! Kwa hali Kama hii sio mwanzo mzuri kama ni mwanzo wa kumsaidia chidi.. Haonekani vizuri– Young Dee


Challenge kwako blaza hii ni aibu sidhani Kama kuna die hard fan wa ukweli wa chidi Kama ataipenda hii Au ata Kama ni kweli una mpango wa kumsaidia kama manager bora Afrika..! Nimeiona hii nmeshtuka tale! Babu Tale umeniangusha Kwa hili.. Starting to heal but kill the best rapper mbele ya macho ya watanzania’Young Dee

Related

Recent 4725582977766360816

Post a Comment

emo-but-icon

BSC I SEM II DRAFT II TIMETABLE


Ruaha Catholic University

RUCO MIRROR 2014 EDITION

Almanac 2015/2016

Our Facebook Page

.

Portal Admin


ADVERTISEMENTS

soccer league tables

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Our Recent Visitors

item